Napenda kuwafahamisha marafiki wangu wote na mashabiki wangu kuwa baada ya kuchaguliwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kumtafuta mwanamuziki bora wa Reggae na Ragga katika Tuzo za Kilimanjaro Music Awards kwa mwaka huu 2012 nilifanikiwa kuingia na nyimbo tatu.

Katika Category ya RAGGA/DANCEHALL nina nyimbo mbili POYOYO na KUDADADEKI,
Na katika Category ya REGGAE nina wimbo MAZINGIRA FT LUTAN FYAH,

Ni wakati wangu wakukuomba kura yako kwa hali na mali ukiwa kama Ndugu, Rafiki, shabiki na hata adui pia kwani kura yako itaniwezesha kushinda.

Ili kuzipigia kura nyimbo zangu KATIKA CATEGORY YA RAGGA/DANCEHAL nenda sehemu ya kuandikia sms katika simu yako andika "M4" kisha tuma kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia kura "KUDADADEKI" na ukiandika "M5"kwenda 15747 hapa utakuwa umeipigia "POYOYO" pia kuna njia nyingine rahisi kwa wale wa Internet pia nenda sehemu yakundika email andika 'M4'wimbo ni "KUDADADEKI" kwenda,[ktma@innovexdc.com] "M5"ni wimbo"POYOYO"kisha tuma hivyo hivyo,

Kunipigia KURA katika CATEGORY YA REGGAE wimbo"MAZINGIRA ft LUTAN FYAH" andika K1 sehemu ya kuandikia sms katika cm yako kisha tuma kwenda 15747, Au kwa kutumia e-mail nenda sehemu yakuandikia ujumbe andika K1 kisha tuma kwenda ktma@innovexdc.com kumbuka unaruhusiwa kuupigia wimbo mmoja kura moja ila mtu mmoja anaweza kuzipigia kura nyimbo zote tatu kwa wakati mmoja, ukishapiga hurusiwi kuzipigia tena, pia waweza kunipigia kura katika tovuti hizi, www.kilitimetz.com au www.teentz.com

Ninaomba sana kura yako,

Wenu Malfred Alfred

Shukrani sana, One love!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: