Wafanyabiashara wadogo wadogo wajulikanao kama wamachinga wakiwa wamepanga bidhaa zao katika kituo cha kidogo cha mabasi Ubungo kama unavyowaona mwenyewe, kwasasa biashara katika eneo hilo imeshamili sana mpaka wahusika wamejisahau kabisa sijui serikali inafanyaje kuhusu watu hawa???
 Wafanyabiashara wengine walikuwa wanafanya minada
 ...Dah! kila kitu kinapatikana hakuna haja ya kwenda sokoni ama kwenye maduka.
 ....Samaki nao wanapatikana hapo
 Ehe! wengine ndiyo walikuwa wanapanga bidhaa yani kumekucha
 ...Mboga mboga na viazi navyo vinapatikana bila kujali eneo lenyewe
...Ni vyema serikali yetu kuliangalia suala hili ili kunusuru eneo hilo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: