Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga.Katikati ni Mke wa Makamu Mama asha Bilal na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Said Mwambungu.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Mwasisi wa Chama cha ASP na TANU, Costantine Osward Millinga (91) anayesumbuliwa na maradhi, wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Kijiji cha Mhekela Wilaya ya Mbinga.
Mke wa Makamu Mama Asha Bilal akimsalimia mwasisi huyo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: