Dada Cosmaya (wa pili kulia mwenye nguo nyeupe) akiwa na wifi yake Mama wa mitindo Asia Khamsin pamoja na marafiki zao wengine waliohudhurua katika maadhimisho ya miaka 75 kuzaliwa kwa mama yake mzazi Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mama wa mitindo Asia Khamsin akiwa na shemeji yake ambaye ni mtoto wa mwisho wa Bi. Malaika wakiwa katika maadhimisho ya miaka 75 ya kuzaliwa kwa mama yake mzazi Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika akifurahia na kushangiliwa na marafiki, watoto na wajukuu zake kwa kutimiza miaka 75 iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Bibi Malaika (katikati) ambaye amefikisha miaka 75 akiwa na mwanae mama Khatibu pamoja na mke wa mwanae Mama wa mitindo Asia Khamsin.
 Bibi Malaika akisalimia na Captain Mwaiki katika sherehe ya kumpongeza Bibi Malaika kufikisha miaka 75.
 Bibi Malaika akisalimia na Balozi mstaafu wa Ufaransa Mhando katika sherehe ya kumpongeza Bibi Malaika kufikisha miaka 75..
 Ndugu jamaa marafiki na wajukuu wakimpongeza bibi Malaika kufikisha miaka 75..
Cosmaya ambaye ni mtoto wa Bibi. Malaika akimpa zawadi ya ua.
 Ndugu jamana na marafiki wakimpatia bibi Malaika zawadi.
 Keki ya kumpongeza bibi Malaika kufikisha miaka 75.
 Wageni waliofika katika sherehe ya kumpongeza Bibi Malaika kufikisha miaka 75..
Bibi Malaika akimlisha keki mwanae mama Khatibu.
 Bibi Malaika akimlisha keki mwanae Cosmaya.
 Bibi Malaika akilishwa keki na mwanae wa mwisho.
 ...huyu nae aliamua kujichagulia keki ya kulishwa.
 ....Utamu wa keki mpaka kaamua kufumba macho...
 Bibi Malaika akimlisha keki mjukuu wake wa kwanza Meline.
 Bibi Malaika akimlisha keki mme wake mkubwa yani mume wa mjukuu wake wake wa kwanza Meline.
 ....Jose nae alifika kulishwa keki na bibi yake
 ....Mjukuu wake mdogo nae alifika kuwalisha wenzake
 Wajukuu nao hawakuwa nyuma kuunfana na bibi yao.
 Keki tamuuuu
  Bibi Malaika akimlisha keki captain Mwaiki.
  Bibi Malaika akimlisha keki balozi mstaafu wa Ufaransa mzee Mhando.
 Mama na mwana.
 Mjukuu mdogo akifungua shampeni
 Aha! ilikuwa ni furahaaa tupu
 Chearssssssss
 Furaha, upendo na amani vidumu kati yetu
 Chearsssss
 furaha ilitanda
 wageni walioalikwa
 wajukuu, marafiki wote walihudhuria
  Bibi Malaika akisaidiwa kupakua chakula na mjukuu wake wa kwanza Meline.

 Wageni waliohudhuria katika sherehe ya kuadhimisha miaka miaka 75 ya kuzaliwa Bibi Gonsaga Mwingira Shawa a.k.a Bibi Malaika iliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

1 comments:

  1. wow,jmani hongera sana sana bi malaika mungu azidi kukuweka zaidi nakumbuka enzi za mburahati na jinsi ulivyokuwa unatuhimiza tusali sana rozali...jamani long time!namuona na baby(jose)amekuwa mkaka cjamuona tony!cos lukin gud as usual...missin u my guys!

    ReplyDelete