SIKU ya leo imeenda vyema kwa mmoja wa mapaparazi wa Magazeti ya Uwazi, Risasi, Championi, Amani, Ijumaa na Ijumaa Wikienda, Musa Mateja ambaye amesherehekea siku yake ya kuzaliwa ndani ya mjengo wa ofisi ya magazeti hayo na kupata fursa ya kuwalisha keki baadhi ya wafanyakazi wenzake.
Mateja ametimiza umri wa miaka kadhaa na anamshukuru Mungu kwa kumfikisha siku ya leo na amezidi kumuomba amlinde daima.
Muandaaji wa magazeti hayo Sebastian akilishwa kipande cha keki.
Toa Maoni Yako:
0 comments: