Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Ahaji Ai Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe, Katibu Mkuu Kiongozi Mh Ombeni Sefue na waomboezaji kwenye  msiba wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo January 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.
 Rais Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu alhaj Ali Hassan Mwinyi na waombolezaji wakiswalia mwili wa Marehemu Azizi Sheween  Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo Janaury 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho. 
Rais Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Ahaji Ai Hassan Mwinyi, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh Bernard Membe, Katibu Mkuu Kiongozi Mh Ombeni Sefue na waomboezaji kwenye  msiba wa Marehemu Azizi Sheween Afisa Ubalozi wa Tanzania huko Abu Dhabi, UAE,ambako alifariki dunia mwisho wa mwezi uiopita na mwii wake umeletwa leo January 6, 2012 kutoka huko, umeagwa rasmi na kusafirishwa kuelekea nyumbani kwake Moshi kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika kesho.
---

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inatangaza ratiba ya msiba wa aliyekuwa Mkuu wa Utawala wa Ubalozi wa Tanzania Riyadh, Saudi Arabia na Afisa Mambo ya Nje Mkuu wa Wizara Bw. Aziz Sheween. 

Mwili wa Marehemu Aziz utawasili Dar es salaam leo tarehe 6/01/2012 Saa Saba Mchana na kupelekwa nyumbani kwake Mikocheni kwa ajili ya Dua na Kumsalia Marehemu. 

Baada ya Kumsalia Marehemu, msafara wa Mwili wa Marehemu Aziz utaelekea Viwanja vya Ndege vya Mwl. J.K. Nyerere kwa ajili ya safari ya kuelekea Moshi, Kilimanjaro kwa mazishi. 

Marehemu Aziz Sheween anatarajiwa kuzikwa kesho tarehe 7/01/2012 baada ya Sala ya Adhuhuri Moshi Mkoani Kilimanjaro. 

Kwa niaba ya Uongozi na Wafanyakazi wote wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Katibu Mkuu wa Wizara Bw. John Haule anatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa, marafiki na wote walioguswa na msiba huo.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: