Msanii wa kizazi kipya kutoa mkoani Moshi akijiachia na mwanadada ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Wanamuziki wa kizazi kipya kundi la Manseze Crew wakiwasha moto, yani hapa walikuwa wanakumbushia enzi zile za 'Kula Kona' ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Msanii wa kizazi kipya Mandojo akiwapagawisha mashabiki ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Msanii wa kizazi kipya Mandojo na Domokaya wakiwapagawisha mashabiki ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.

 
Furaha zilitawala ndani ya uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
  
 Kundi la Wanaume TMK wakiwasha moto ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Msanii wa kizazi kipya Temba kutoka kundi la Wanaume TMK akiwaburudisha wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
  Msanii wa kizazi kipya Chegge kutoka kundi la Wanaume TMK akiwaburudisha wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Hata ushow love kulikuwepo...
 Mtangazaji wa Clouds Tv kipindi cha Siz Kitaa, Casto Dickson a.k.a Mwananchi wa Kawaida ambaye alikuwa ni mshehereshaji katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi. Hapo alikuwa akiongea na Wananchi wa Mji wa Moshi.
Msanii wa hip hop JCB Makala kutoka kundi la Watengwa Rec akiwa na mwadada wa kundi lao, Arusha wakiwaburudisha wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 ...Airtel oyeeeeeeeeeee
Msanii wa kizazi kipya Linah kutoka THT akiwaburudisha wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wasanii wa kizazi kipya kutoka kushoto ni Barnaba, Q-chief pamoja na Lina wakiwakumbusha enzi hizo za 'Nikilala Naota' wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wasanii wa kizazi kipya kutoka kushoto ni Barnaba, Q-chief pamoja na Lina wakiwakumbusha enzi hizo za 'Nikilala Naota' wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Wasanii wa kizazi kipya Linah akijiachia na shabiki wake
...???????????
Msanii wa muziki wa Hip Hop MwanaFA akimwagia mistari wakazi mji wa Moshi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Wasanii chipukizi wa muziki wa hip hop kutoka Moshi wakiwasha moto ndani ya uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika katika uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Msanii wa kizazi kipya Aslay akiwapa kitu cha 'Naenda kukusemea kwa Mama' wakazi mji wa Mosi waliohudhuria katika uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.



 Watu waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
 Watu waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Watu waliojitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel, Airtel Money uliofanyika leo kwenye uwanja wa Ushirika mjini Moshi.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: