Angalia jinsi ilivyo stendi kuu ya mabasi mkoani Shinyanga, kwakweli kwa sasa angalau wameweka hata lami kwa vile mara ya kwanza ilikuwa ni vumbi tupu wakati wa kiangazi na wakati wa masika ni matope.
Kitu cha kujiuliza mamlaka husika ipo wapi walau ihamishe stendi hii kutoka katikati ya mji na kujenga sehemu ambayo itakuwa nzuri hata kwa afya za wakazi wa Shinyanga.
Toa Maoni Yako:
0 comments: