Mkurugenzi wa Banki ya NIC Tanzania  James Muchiri , akifafanua jambo kwa waandishi wa habari wakati wa hafla ya kukabidhi hundi ya Shilingi milioni Mbili na laki nne 2.4 kwa hospitali ya CCBRT kwa ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Kushoto ni Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans.
 Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans akitoa neno  la shukurani kwa uongozi wa Benki ya NIC Tanzania baada ya kukabidhiwa hundi  ya shilingi Milioni 2.4 kwa  ajili ya wagonjwa wenye, matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Benki ya NIC Tanzania  James Muchiri.
Mkurugenzi wa Benki  ya NIC Tanzania  James Muchiri, akimkabidhi hundi ya shilingi Milioni 2.4  Mkurugenzi wa Hospitali ya CCBRT Erwin Telemans kwa  ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya ulemavu katika hafla iliyofanyika  jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: