Sakata la magari ya kubebea wagonjwa katika vituo vya afya mkoani Pwani kukusa mafuta limechukua ura mpya baada ya kubainika kuwa wakurugenzi wa halmashauri za wilaya zote za mkoa huo wanatumia mafuta yanayotolewa na serikali kwa ajili ya magari ya wagonjwa kwa matumizi mengine tofauti ikiwemo ukaguzi wa miradi maji na barabara.

Hali hiyo imesababisha vituo vingi vya afya katika mkoa huo kushindwa kutumia magari ya wagonjwa kuwahamishia wagonjwa mahututi katika hospitali za rufaa jambo linasababisha wagonjwa kupoteza maisha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: