Mfanyabiashara huyo anadai kulipuliwa na moto huo wa Petrol baada ya chumba chake cha kuhifadhia mafuta ya biashara kushika moto ambao chanzo chake bado kufahamika na kuwa wakati wasamaria wema wakijaribu kuinusuru nyumba kuteketea kwa moto waliamua kuchukua ndoo moja ambayo ndiyo ilikuwa imeshika moto huo na kuitupa nje na ndipo ilipo mwilini mfanyabiashara huyo ambaye alikuwa akikimbilia kusaidia kuzima moto huo.
Shukrani nyingi zimwendee mwanahabari Francis Godwin kutoka Iringa.
Toa Maoni Yako:
0 comments: