Gadner G akimpokea kwa shangwe rafiki yake
Wadada wakijiachia kwa raha zaooooo
Kibonde akishow love na rafiki yake
Mwimbaji wa bendi ya Machozi, Mwinyi akiwazungusha wape da burudani waliojitokezandani ya kiota cha maraha Nyumbani Lounge jijini Dar.
...Haya twendeeee sasa
...ehe! ehe1 mpaka chiniiii, mpaka chiniii
Marafiki wakifurahia
Mwimbaji wa bendi ya Machozi, Sam (kushoto) akiendelea kuwazungusha pembeni yake ni Mwinyi akimsaidia
Mwimbaji wa bendi ya Machozi, Joniko Flower akiwa na Mausantiago
Toa Maoni Yako:
0 comments: