Bondia Ubwa Salumu kushoto akioneshana kiwango cha utupwaji wa masumbwi na Abuu Mtabwe wakati wa mazoezi yanayoendelea ya kambi ya Ilala Ubwa anajiandaa na mpambano wake na Mustafa Doto utakaofanyika desemba 25 katika ukumbi wa Herniken mtoni Kijichi Jijini Dar es salaam kusindikiza mpambano wa Maneno Osward na Rashidi Matumla siku hiyo.
Kocha Mkongwe wa Mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli (kulia) akiwaelekeza mabondia Ubwa salumu na Abuu Mtambwe jinsi ya kutupa Masumbwi wakati wa mazoezi ya kambi ya Ilala. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: