Mwanamama Vida Mdolwa (ambaye aliyendaa kongamano hilo) akielezea machache kuhusu kongamano maalum la kuwapa ufahamu wanawake (Kitchen Party Gala) linalofanyika katika katika ukumbi wa JB Belmonte jijini Dar es Salaam.
Mtangazaji wa Kipindi maarufu cha Leo Tena kinachorushwa na kituo cha redio 88.4 Clouds FM Dina Marious akifafanua jambo pamoja na mama Vida Mdolwa ambaye ni muandaaji wa kongamano hilo.
Bi. Hindu akitoa somo...kwa msisitizo katika kongamano maalum la kuwapa ufahamu wanawake (Kitchen Party Gala) linalofanyika katika katika ukumbi wa JB Belmonte jijini Dar es Salaam.
Mwanasaikolojia mbobevu nchini Aunt Sadaka Ghandi akitoa somo katika kongamano maalum la kuwapa ufahamu wanawake (Kitchen Party Gala) linalofanyika katika katika ukumbi wa JB Belmonte jijini Dar es Salaam.
Mama Victor akitilia msisitizo katika kongamano maalum la kuwapa ufahamu wanawake (Kitchen Party Gala) linalofanyika katika katika ukumbi wa JB Belmonte jijini Dar es Salaam.
...akina mama waifurahiaaaaaaaaaaaa
...hapa somo limekolea...
Mwamko ulikuwa mkubwa...
Dada Vida Mdolwa (wa kwanza kushoto) ambaye ndiye mwandaaji wa Kitchen Party Gala kwa akina mama.
Umakini ulikuwepoooooooooo
...akina mama walikuwa makini sana kusikiliza
...akina dada ambao walikuwa wakihudumia na kupokea wageni
Umati wa akina mama uliojitokeza...
Toa Maoni Yako:
0 comments: