Kike ya wanadada Magreth Berege na Dr. Gemma Berege ambapo Magreth Berege yeye amekula nondo ya master of bussiness administration - corporate management toka chuo kikuu mzumbe huku Dr. Gemma Berege yeye alikula nondo ya Master of dentistry in oral surgery toka chuo kikuu muhimbili.
Akiwa katika uso wa tabasamu Magreth Berege amekula
nondo ya Master of Bussiness Administration - Corporate Management toka
Chuo Kikuu Mzumbe.
Familia ya Bwana na Bibi Berege wakiwa na watoto wao wapenzi watatu (Pendo,Gema na Mage).
Wahitimu wawili wa elimu ya juu Masters wakifungua Kinywaji maalumu kuonyesha furaha zao
Gadner akitoa cheers kwa wahitimu hao/wala Nondo
La Familia wakienda kutoa zawadi zao
...hongereni sana
Hongereni sana...zikitoka kwa wana La Familia
Bw. Jacob akimpongeza mke wake mtarajiwa Magreth pamoja na shemeji yake Dr. Gemma
La Familia wakiwa katika picha ya pamoja na wahitimu.
Furaha zilitawala
Magreth Berege (kushoto) akiwa na rafiki yake Carol (Kulia) wakiwa katika mahafali yao yaliyofanyika katika Chuo Kikuu Mzumbe-Dar es Salaam.




Toa Maoni Yako:
0 comments: