Mwakilishi wa Micro Ensure Bw. Albert
Layoni akielezea jinsi kampuni yao inavyofanya kazi katika Tigo Bima, kulia ni meneja wa bidhaa wa Tigo Joe
Bendera, pamoja na mkurugenzi wa kampuni ya bima ya Golden
Crescent Bw. Abhijit Ghose.
Mkurugenzi wa kampuni ya bima ya Golden Crescent Abhijit Ghose akielezea jinsi huduma za Tigo Bima zilivyokuwa za uhakika na haraka baada ya kuwakabidhi wafidiwa Fransic Maugo aliyepata laki sita na Joseph Jeremani aliyepata shilingi Laki nane. Anayefuatia kutoka kushoto Mwakilishi wa MicroEnsure Albert Layoni Na Na wa mwisho ni Meneja wa bidhaa Tigo Joe bendera.
Mfidiwa Francis Maugo (kulia) aliyepokea Kitita cha shilingi Laki sita kama fidia baada ya kufiwa baba yake akitoa ushuhuda jinsi alivyoweza kupata huduma za bima ndani ya muda mfupi. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Golden Crescent Abhijit Ghose, Mwakilishi wa Micro Ensure Albert Layoni na Meneja wa bidhaa Tigo Joe bendera.
Mfidiwa wa Tigo Joseph Jeremani (kushoto) akipokea hundi ya shilingi laki nane kutoka kwa meneja wa bidhaa wa Tigo Joe Bendera (kulia) ambayo ni fidia aliyoipata baada ya kumpoteza baba yake aliyemsajili katika huduma ya Tigo Bima. Katikati ni mkurugenzi wa kampuni ya bima ya Golden Crescent Bw. Abhijit Ghose.
Mfidiwa Francis Maugo (kushoto) akiishukuru kampuni ya TIGO kwa kumpa kitita cha shilingi Laki sita kama fidia baada ya kufiwa baba yake akitoa ushuhuda baada ya kuwa amejiunga na huduma za Tigo Bima na kulipwa ndani ya muda mfupi. Kutoka kulia ni Joseph Jeremani ambaye nae alifidiwa baada ya kufiwa na baba yake, meneja wa bidhaa wa Tigo Joe Bendera, Mwakilishi wa Micro Ensure Bw. Albert
Layoni pamoja na mkurugenzi wa kampuni ya bima ya Golden
Crescent Bw. Abhijit Ghose.
---
Kampuni ya Tigo na kampuni inayotoa bima Golden Crescent leo wameweza kulipa madai ya kwanza ya gharama ya shillingi 1,000,000 kwa wateja wa Tigo ndani ya masaa 72 baada ya mteja huyo kuweza kutoa nyaraka husika.
‘Tigo Bima’ ni huduma kutoka Tigo ambayo inatoa bima bure wakati mteja mwenyewe anakufa au amefiwa na mwanafamilia. Na malipo haya ya haraka, Tigo imeonyesha ahadi yake ya ukweli ya kwamba unalipwa madai baada ya siku tatu.
Francis Sylvester Amugo ambaye leo amekabidhiwa jumla ya shilingi 600,000 fedha taslim baada ya kumpoteza baba yake aliyefariki amesema “nilisikia habari za Tigo Bima kupitia wakala a Tigo ambaye ni jirani yangu. Sikupata shida kuzipata nyaraka zangu. Na kuhusu hizi hela nitatumia katika gharama za mazishi, kuwalipia ada pamoja na kuwanunulia sare za shule wadogo zangu. Na zitakazobakia zitaingia katika akaunti yangu. Nawahimiza na wenzangu kujiunga na huduma ya tigo Bima kwani ni ipo na inatokea”
Mkurugenzi wa Golden Crescent Bw. Abhijit Ghose, na Joe Bendera mwakilishi wa Tigo wakimkabidhi hundi hiyo Bw. Ghose alisema “Kwa njia ya ushirikiano kati ya Holden Crecent na Tigo, MicroEnsure na Milvik, Golden Crescent inaendelea kuwa ya kwanza fursa mpya kwa familia mbali mbali na kuwalinda na hatari wanayokabiliana nayo na tunahakikisha kwamba wanalindwa ndani ya masaa 72.”
Mwakilishi wa Tigo Bima, Joe Bendera alisema “Tigo Bima inawapa fursa wateja wetu kupata huduma ya bima, na pia kuwapa msaada waki fedha wanapoitaji. Wanachoitaji kufanya ni kubaki kuwa mteja mwaminifu wa Tigo ukitumia angalau shillingi 5,000 ya muda wa maongezi kwa mwezi kupata faida hii bure. .Ahadi yetu ni kuhakikisha tunaharakisha malipo na kuthibitisha kuwa Tigo ni mshirika wa kuaminika na anayekuwepo pale wakati anapohitajika”
Madai ya Tigo Bima yanaanzia shilingi 200,000 mpaka shilingi 1,000,000 kutokana na kiasi ambacho mteja ametumia kwa mwezi. NI raisi kutuma madai na ni lazima yafanyike ndani ya siku 60 tokea mtu aliyesajiliwa na tigo anapofariki. Na tukio mnaloshuhudia leo ni kielelezo tosha kuwa Tigo imedhamilia kutoa huduma ya Bima rahisi, ya bure nay a kutegemewa kwa wanachama wake.
Tigo bima inapatikana kwa wateja wanaolipia kabla bure ambao wanatumia kiasi cha chini cha shilingi elfu tano na kuendelea cha muda a maongezi kwa mwezi. Na jinsi wanavyozidi kutumia muda wa maongezi ndivyo wanavyojiongezea bima yao kwa mwezi. Mteja anaweza kujisajili na Tigo Bima katika matawi ya huduma kwa wateja ya Dar es salaam (Nkurumah, Buguruni, Ghana, J Mall, Kariakoo na Milimani City Mall), Arusha (Blue Rock na Sokonie Dr branch) na kwa tawi la Morogoro kupitia mawakala wetu wanaotembea Dar es Salaam yote pamoja na mikoa Dodoma, Mbeya, Iringa, Singida na Mtwara. Mteja aliyejiunga atapata ujumbe kila mwanzoni mwa mwezi kukujulisha kiango cha bima ulichonacho kupitia kiasi ulichoweka mwezi uliopita. Wateja wote ni lazima wawe na umri kati ya miaka 18 na kuendelea.

Toa Maoni Yako:
0 comments: