Mkurugenzi wa Mradi Afrika Mashariki Jawad Jeffer (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa utambuzi wa bidhaa zinazofanya vizuri kimataifa- SUPERBRAND ambapo hafla ya kutangaza washindi inatarajia kufanyika Desemba 2 mwaka huu katika hoteli ya Hyatt Regency- The Kilimanjaro, Dar es Salaam. Kulia ni Bw. Juvenal Kamanzi ambaye ni Product Development&Reserch wa benki ya CRDB pamoja na Bw. Daniel Hill ambaye ni Group Sales & Marketing Manager- kutoka kampuni ya Bakresa ambao wote ni wadhamini wa halfa hiyo.
 Bw. Daniel Hill ambaye ni Group Sales & Marketing Manager- kutoka kampuni ya Bakresa ambao wote ni wadhamini wa halfa hiyo akiwaelezea waandishi wa habari kuhusiana na tuzo waliyoipa mwaka jana.
Waandishi wa habari waliohudhuria katika mkutano huo.
 Bw. Juvenal Kamanzi ambaye ni Product Development&Reserch wa benki ya CRDB akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa utambuzi wa bidhaa zinazofanya vizuri kimataifa- SUPERBRAND ambapo hafla ya kutangaza washindi inatarajia kufanyika Desemba 2 mwaka huu katika hoteli ya Hyatt Regency- The Kilimanjaro, Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Mradi Afrika Mashariki Jawad Jeffer (katikati) akitia msisitizo kwa waandishi wa waandishi wa habari katika uzinduzi wa utambuzi wa bidhaa zinazofanya vizuri kimataifa- SUPERBRAND ambapo hafla ya kutangaza washindi inatarajia kufanyika Desemba 2 mwaka huu katika hoteli ya Hyatt Regency- The Kilimanjaro, Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Mradi Afrika Mashariki Jawad Jeffer (katikati), Bw. Juvenal Kamanzi (kushoto) ambaye ni Product Development&Reserch wa benki ya CRDB pamoja na Bw. Daniel Hill ambaye ni Group Sales & Marketing Manager- kutoka kampuni ya Bakresa ambao wote ni wadhamini wa halfa hiyo ya SUPERBRAND wakijibu maswali ya waandishi wa habari kwa pamoja.
---
Superbrand ni mamlaka kubwa kuliko zote duniani zilizopewa uwezo wa kutambua bidhaa bora. Inatambua na kuzitunuu bidhaa za kipekee kwa ubora na kuzihimiza kuwa bidhaa zinazoongoza duniani kote. Hadhi iliyonayo superbrand kwa bidhaa inaongeza sifa kwa bidhaa na kuiongezea thamani kuwashinda washindani katika soko.

Superbrand imeanzisha program zake kwa zaidi ya nchi 88 duniani ikiwa nia pamoja na masoko makubwa duniani. Moja kati ya masoko hayo makubwa duniani ni pamoja na Mercedes Benzi, Coca Cola, BMW, Google ma Microsoft.

Kwa upande wa Afrika mashariki Superbrand ilianzishwa miaka minne iliyopita pia imedhamilia katika kuzitambua bidhaa zinazoongoza katika soko.

Zaidi ya bidhaa 500 za Afrika Mashariki zinataraji kushindanishwa katika kiniyang’anyiro cha kuwania Tuzo ya "BRAND OF THE YEAR' ikiwa ni katika kuzipa heshima bidhaa zilizofanya vizuri na kuongoza katika soko.

Akizungumza jijini Dar es salaam, wakati wa Utambuzi wa Bidhaa zinazofanya vizuri kimataifa, Mkurugenzi wa Mradi Afrika Mashariki Jawad Jeffer alisema kufuatia kuwepo ushindani mkubwa katika soko la dunia ni vema bidhaa nyingi za ndani zikaingia mwaka huu sambamba na bidhaa zinazotambulika kimataifa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: