Hapa ni maeneo ya Mayfair ambapo kwakweli hali si hali maana kumejaa maji kupita kiasi jambo ambali linafanya kuwe na foleni kubwa.
Maduka hayaingiliki...
Foleni kama unavyoinona.
Barabara imejaa maji
Wengine wameamua kupaki pikipiki zao
Vijana wakiwa wamejipanga kwa ajili ya kuvusha watu kutoka eneo la maji mpaka sehemu kavu ambapo wanavusha kwa tshs.500/-.
Toa Maoni Yako:
0 comments: