Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akitoka katika chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo ambapo alisomewa jumla ya mashitaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo.Bw.Mataka ameachiwa kwa Dhamana ya Sh. Mil.20 kutoka kwa wadhamini wawili tofauti ambao kila mmoja amemdhamini kwa sh.Mil. 10.
Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Ndege Tanzania(ATCL),David Mataka akisindikizwa na askari Polisi wakati akitoka kwenye chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo alikosomewa mashtaka matatu likiwemo la kushindwa kutoa taarifa sahihi za matumizi ya vitu mbalimbali vya shirika hilo. Picha na Francis Dande
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: