Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (katikati) akibonyeza simu ya mkononi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya TPB POPOTE, ambayo inamwezesha mteja kupata taarifa mbalimbali, kununua muda wa maongezi, luku na kutuma na kuweka fedha. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi, ambaye anaangalia Projector ili kuangalia taarifa za Waziri Mkulo na kulia ni mfanyakazi wa benki hiyo. Uzindunzi huo ulifanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo.
Waziri wa Fedha, Mustafa Mkulo (katikati) akibonyeza simu ya mkononi ikiwa ni ishara ya kuzindua huduma ya TPB POPOTE, ambayo inamwezesha mteja kupata taarifa mbalimbali, kununua muda wa maongezi, luku na kutuma na kuweka fedha. Kushoto ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Posta Tanzania, Sabasaba Moshingi, ambaye anaangalia Projector ili kuangalia taarifa za Waziri Mkulo na kulia ni mfanyakazi wa benki hiyo. Uzindunzi huo ulifanyika kwenye hoteli ya Kilimanjaro Hyatt Regency jijini Dares Salaam leo. (PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO).
Toa Maoni Yako:
0 comments: