Wadau wakijiachia ndani ya kiota cha maraha cha Nyumbani Lounge wikendi iliyopita ambayo bendi ya Machozi ilikuwa ikiburudisha.
 Mwanamuziki Mwinyi wa bendi ya Machozi akiwaburudisha wadau waliojitokeza katika onyesho hilo.
 Wadau wa bendi ya Machozi wakijiachie kwa raha zaooooooooooo...hapo ilikuwa zamu ya mduaraaaaaa
 Wanamuziki wa bendi ya Machozi Sam (kulia) na Mwinyi wakiwajibikaaaaaaaaa.
 Hapoooooooooooooooo........ rahaaaaaaaaaaa
 Achiaaaaaaaaaaa nyongaaaaaaaaaaaaaaaa kwa raha zaooooooooo
Indemoniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: