Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akizungumza na ujumbe wa madaktari kutoka jimbo la Jiangsu, nchini China ukiongozwa na Naibu Mkuu Idara ya Afya katika jimbo hilo, Zhou Zhengxing, (wa pili kushoto),p ia Balozi mdogo wa China anyeishi Zanzibar, Chen Qiman, aliongoza ujumbe huo, Ikulu Mjini Zanzibar jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekitim wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akipokea zawadi kutoka kwa kiongozi wa Madaktari kutoka China Naibu Mkuu Idara ya Afya katika jimbo la Jiangsu, Zhou Zhengxing, ikulu mjini Zanzibar, jana ujumbe huo umekuja katika kuimarisha sekta ya Afya.
Toa Maoni Yako:
0 comments: