Gari la taka likipakia takataka katika maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam ambapo kwa sasa magari haya ya takatak yameoneka kuwa ni kero sana kwa vile yamechakaa sana na yanapokuwa yanapita kuwa yanatoa harufu na kumwaga mwaga takataka.
Ujumbe ulioandikwa kwenye gari, 'Lipia Usafi wa Mazingira Upate Huduma Bora'
Toa Maoni Yako:
0 comments: