Mapacha wakiwa pamoja
 Familia ya Bwa na  Bibi Edwin inahitaji msaada wako wa hli na mali ili kuweza kunusuru afya za watoto wachanga ambao ni mapacha watatu.

Mama yao mzazi hana maziwa ya kuwatoshereza watoto hawa, hivyo kutokana na ushahuri wa madaktari, walipendekeza watoto hawa kupewa maziwa ya ziada aina ya Lactogen no.1, ambayo ni ghari na familia haina uwezo wa kumudu gharama ya maziwa hayo.
Mama Mzazi akiwa anamnyonyesha mmoja wa watoto hao ambao kwa sasa wanakaribia miezi mitatu
 Hivyo  wazazi wa watoto hawa wanaomba msaada kwa wasamalia wema na atakayeguswa na hali hii  ili kuweza kunusuru afya za watoto wao.
Mmoja wa wasamlia akiwa amewabeba watoto hao alipowatembea na kuwapa maziwa na mahitaji ya watoto
unaweza kuwasiliana na baba Mzazi, Edwin Dosantos, amabaye ni baba wa watoto hao, namba 255719909085/ 0767646599 Ama mama wa watoto hao 0654336459.

Ama unaweza kuwatembelea ilikufikisha mahitji hayo muhimu ya maziwa,nguo na fedha au chochote  fika nyumbani kwao Kimara Mwisho...eneo la Matangini.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: