Bw. Chabaka akitoa pete.
Wapenzi wakiwashukuru wageni waalikwa.
Wachumba wakiwa na baadhi ya marafiki zao na familia.
Sherehe fupi ya Uchumba ilifanyika Jumamosi Tarehe 22 octoba 2011 kati ya Naibu Balozi wetu, Mhe. Chabaka Kilumanga na Bi. Irene. Sherehe hii ilihudhuriwa na baadhi ya ndugu pamoja na marafiki wa karibu waliojumuika kwa pamoja kushuhudia tukio hili Muhimu katika safari yao ya kuelekea kwenye Ndoa.
Toa Maoni Yako:
0 comments: