Maandamano ya kuingia kanisani yakiongozwa na watumishi, katika ibada ya kutoa sakramenti ya kipaimara iliyofanyikia Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
Watoto waliokuwa wakipokea sakramenti ya kipaimara wakiingia kanisani kwa maandamano huku wakicheza na kuimba.
 Akinamama ambao ni WAWATA hawakuwa nyuma kuimba na kucheza.
 Paroko wa kanisa hilo la Mt.Yakobo, Parokia ya Moshono Padre Silili (wa tatu kutoka kushoto) akiwaongoza Askofu Noel Oligati kutoka nchini Canada pamoja na mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu.
Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu (aliyeshika fimbo) akiongozwa kuingia kanisani.
 Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu akiongoza misa.
 Askofu Noel Oligati kutoka nchini Canada akiwa pamoja na mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu wakiongoza ibada ya kutoa sakramenti ya kipaimara iliyofanyikia Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
Waumini waliohudhuria ibada hiyo.
 Kutoka kulia ni Paroko wa kanisa hilo la Mt.Yakobo, Parokia ya Moshono Padre Silili, mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu, Askofu Noel Oligati kutoka nchini Canada akiwa pamoja na msaidizi wa paroko katika kanisa hilo wakiwa wameungana na waumini wa kanisa hilo kuwaombea watoto waliokuwa wakipokea sakramenti ya kipaimara iliyofanyikia Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
 Askofu Noel Oligati kutoka nchini Canada akiwa pamoja na Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu wakitoa sakramenti ya kipaimara kwa watoto iliyofanyikia Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha. Ambapo Jumla ya watoto wapatao 94 kutoka katika vigango vya Chekereni, Mlangarini, Nduruma, Themi luci, Themi Simba pamoja na Themi Fill walipokea sakramenti ya Kipaimara.
 Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu akitoa sakramenti ya kipaimara katika Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
 Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu akigawa vyeti kwa watoto waliopokea sakramenti ya kipaimara katika Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
Mhashamu baba askofu mkuu wa jimbo kuu katoriki la Arusha, Josephat Louis Lebulu akigawa vyeti kwa watoto waliopokea sakramenti ya kipaimara katika Kanisa la Mt. Yakobo, Parokia ya Moshono, Arusha.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: