Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla ( kulia) akiwa na Hamis Maguo,
alipotembelea hivi karibuni Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera,
kufuatilia mgogoro kati ya wananchi wa Kijiji hicho na mwekezaji.
Mbunge wa Jimbo la Mvomero, Amos Makalla (wenye suti) akiangalia uzio
uliowekwa na mwekezaji katika Kitongoji cha Kinyenze, Kijiji cha Kipera,
Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro na kuziba njia inayokwenda katika
mtaa wa Mwanga na katika mashamba. Pia mwekezaji huyo raia wa kigeni
amechukua sehemu ya mashamba ya wananchi hao bila ya taarifa yeyote kwa
Halamashauri ya Kijiji na wananchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments: