Wananchi waliojitokeza katika mazishi hayo wakiwa wamebeba jeneza tayari kwa kuzika.
 Wananchi waliojitokeza katika mazishi hayo wakiwa wamebeba jeneza
Makaburi wakati yanachibwa.
 Umati wa watu waliohudhuria katika mazishi hayo.
 Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mh Mwantumu Mahiza akiongoza maziko hayo kwa huzuni akiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mh. Gregory Teu na Mbunge wa viti maalumu toka mkoa wa Pwani Mh. Zainabu Vullu.
 Majeneza yaliyobeba miili 12 ya marehemu.

Shughuli ya ya kuzika mabaki ya miili ya abiria walio kuwa wakisafiri kutoka dar kuelekea dodoma ambao walifariki katika ajali iliyo tokea kibaha mkoa wa pwani baada ya bus la dilax kupasuka gurudumu la mbele nakusababisha kudondoka na kuwaka moto mazishi hayo ya pamoja yamefanyika katika makaburi ya Air Msae- Kibaha.

Picha na Mwandishi Chris Mfinanga wa Blog ya Habari na Matukio.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: