Umati wa watu waliohudhuria katika bonanza la Family Day lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es salaam stejini ni bendi ya Twanga Pepeta wakitumbuiza.
Msanii Islay akifanya vitu vyake na wimbo wake "NAENDA KUSEMA KWA MAMA" msanii huyo kwa sasa anavuma na wimbo wake huo na kujipatia sifa kibao. 
Umati wa watu uliohudhuria bonanza hilo.
Rais wa Masharobaro kulia akicheza pamoja na madansa wake katika bonanza la Family Day lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es salaam.
Mwanamuziki Cabo Snoop kutoka nchini Angola akifanya vitu vyake jukwaani pamoja na dansa wake wakati wa bonanza la Family Day lililofanyika jana kwenye viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar es salaam na kushirikisha pia wasanii kadhaa wa nyumbani Tanzania wakiwemo Diamond, Linah, Barnaba, Islay na bendi ya African Stars ya jijini Dar es salaam. Picha kwa hisani ya Jiachie Blog.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: