Mwanamuziki mahiri kutoka nchini Marekani, Shaggy akisaidiwa upanda mti.
 Wanamuziki watakaotumbuiza kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011, Oktoba 1 kwenye uwanja wa Carnivo, Shaggy, Cabo Snoop, Davis, Alpha, Peter Msechu wakishirikia na baadhi ya wafanyakazi wa kampuni ya EABL, Kenya, wakiongozwa na Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo Caroline Ndugu wameshiriki zoezi la upandaji miti mapema leo asubuhi kwenye msitu wa hifadhi ya miti uitwao Karura Forest kwa ajili ya kuihamasisha jamii katika suala zima la kulinda na kuhifadhi mazingira, aidha pia zoezi hilo limefanyika ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Mwanaharakati wa Mazingira, Prof Wangari Maathai, ambaye amefariki hivi karibuni jijini Nairobi, nchini Kenya.

 Wanamuziki watakaotumbuiza kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011, Oktoba 1 kwenye uwanja wa Carnivo, Shaggy, Cabo Snoop, Davis, Alpha, Peter Msechu wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza zoezi la upandaji miti mapema leo asubuhi kwenye msitu wa hifadhi ya miti uitwao Karura Forest kwa ajili ya kuihamasisha jamii katika suala zima la kulinda na kuhifadhi mazingira, aidha pia zoezi hilo limefanyika ikiwa ni sehemu ya kumuenzi Mwanaharakati wa Mazingira, Prof Wangari Maathai, ambaye amefariki hivi karibuni jijini Nairobi, nchini Kenya.
Mkurugenzi wa wa Prime Time Promotions/Clouds Media Group ya nchini Tanzania, Bw. Joseph Kusaga akiwa pamoja na wanamuziki watakaotumbuiza kwenye tamasha la Tusker All Stars 2011, Oktoba 1 kwenye uwanja wa Carnivo, Shaggy, Cabo Snoop, Davis, Alpha, Peter Msechu wakiwa katika zoezi la upandaji miti.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: