Taasisi isiyo ya Kiserikali,THT leo imefanya mahafali ya sita kwa vijana wake 30 waliomaliza mafunzo ya muziki, hafla hiyo iliyokuwa ya kuvutia kwa wageni waalikwa mbalimbali waliofika, imefanyika maeneo ya Morocco Block 41 nyuma ya mgahawa wa Bestbite ambako ndiko kwenye tukio husika la THT.
Wasanii hao wapatao 30 wakiingia ukumbini kwa maandamano.
Pichani wa wanamuziki wakongwe ambao walikuwa wageni waalikwa wakipiga makofi wakati wahitimu ho wakiingia.
Wahitimu wakiwa katika pozi.
Wasanii hao wapatao 30 wakiwa wameketi.
Wasanii wakongwe nao walihudhuria mahafali hayo.
Wahitimu wakiwa na nyuso za furahaa.
Kila muhitimu alionyesha ubunifu katika mavazi.
Aha...pozi ziliendelea...
Kulinoga sana... vijana wakiwajibika.
Wasanii hao wapatao 30 wakiimba mbele ya wageni waalikwa kuonesha ni kiasi gani wameiva katika fani ya muziki,ingawaje hiyo ni hatua ya kwanza kwa wahitimu hao.
Mwanadada Beatrice katika pozi.
Mwanamuziki Betrice ambaye pia ni mhitimu akionyesha vitu vyake mbele ya wageni waalikwa.
Mmoja wa walezi wa kituo cha THT,Mama Sadaka Gandi akifafanua jambo kwenye mahafali hayo.
Meneja wa kituo cha T.H.T, Rebecca Young (kushoto) akiwa na wageni waalikwa akifuatilia kwa makini hafla hiyo.
Mzee Kitime nae hakukosaaaaaaa...
Toa Maoni Yako:
0 comments: