Muonekano wa keki ya wahitimu.
 Mmoja wa wanafunzi akikabidhiwa cheti chake,mara baada ya kuhitimu awamu yake ya kwanza,kutoka kwa Meneja wa kituo hicho,Rebecca Young.
 Ilikuwa ni furahaaaaaaaaa... mwanafunzi akikabidhiwa cheti chake,mara baada ya kuhitimu awamu yake ya kwanza,kutoka kwa Meneja wa kituo hicho,Rebecca Young.
 Mmoja wa wanafunzi akikabidhiwa cheti chake,mara baada ya kuhitimu awamu yake ya kwanza,kutoka kwa Meneja wa kituo hicho,Rebecca Young.
 Mmoja wa wanafunzi akikabidhiwa cheti chake,mara baada ya kuhitimu awamu yake ya kwanza,kutoka kwa Meneja wa kituo hicho,Rebecca Young.
 Pichani kati ni mmoja wa walimu wa muziki THT,Cadinal Gento akikata keki jioni ya leo wakati taasisi hiyo ilipokuwa ikifanya mahafali ya sita kwa vijana wake 30 wanaomaliza mafunzo ya muziki,ambapo hafla imefanyika leo maeneo ya Morocco Block 41 nyuma ya mgahawa wa Bestbite ambako ndiko kwenye tukio husika la THT pamoja na mratibu wa hafla hiyo,Teacher Nkya wakishuhudia tukio hilo la ukataji keki.
 Pichani kati ni mmoja wa walimu wa muziki THT,Cadinal Gento akimlisha mmoja ya wahitimu kwa niaba ya wenzake.
Mratibu wa hafla hiyo,Teacher Nkya wakikata keki kwa ajili ya kumlisha mhitimu.
 Pichani ni mmoja wa walimu wa muziki THT, Cadinal Gento akilishwa keki na mhitimu kuonyesha upendo na mshikamani.
 Mratibu wa hafla hiyo,Teacher Nkya wakilishwa keki.
 Mmoja wa walezi wa kituo cha THT,Mama Sadaka Gandi fungua shampeni mbele ya wahitimu.
Pichani juu na chini ni picha za baadhi ya wahitimu wakionesha umahiri wao wa kucheza na sauti kwa namna walivyofundishwa na walimu wao wa muziki.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: