Hawa ndiyo watangazaji wa kipindi cha Jahazi la Clouds Fm, utoka kushoto ni Arnold Kayanda, Wasi Wasi Mwabulambo pamoja na Ephraim Kibonde.

Timu ya Jahazi ya Clouds Fm inayofuraha kuwatangazia wadau wote wa Jahazi njia mpya na nzuri ya kutoa maoni wakati mijadala mbali mbali inapoendelea ndani ya Jahazi la Clouds Fm.

Jumatatu hadi ijumaa kuanzia saa kumi jioni hadi saa 1 (4pm-7pm).

Kujiunga tuma Neno JAHAZI kwenda 15774 kushiriki na kushiriki Andika JAHAZI acha nafasi harafu andika maoni yako tuma kwenda namba 15774.

NB: Huduma hii ni kwa mitandao yote ya simu na hakuna malipo ya aina yeyote ila yatatozwa.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

2 comments:

  1. HALLOW MR KIBONDE,NA TEAM NZIMA YA JAHAZI.JAMANI JAMANI NAOMBA KUULIZA,KUNA CHAMA KIMOJA CHA SIASA JINA KAPUNI,WAO WANASEMA SAA YA UKOMBOZI NI SASA.NAJIULIZA WANAMKOMBOA NANI NA WANAJIKOMBOA KUTOKA WAPI?NAWASHUKURU SANA NA NAWAPA BIGUP KWA YOTE MNAYO YAFANYA.SANGA,DISMAS MBEYA TANZANIA.TUDUMISHE AMANI NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WOTE,CHUKI, UKABILA HAVITUFIKISHI POPOTE,AMANI TULIYO NAYO NI TUNU.

    ReplyDelete
  2. HALLOW MR KIBONDE,NA TEAM NZIMA YA JAHAZI.JAMANI JAMANI NAOMBA KUULIZA,KUNA CHAMA KIMOJA CHA SIASA JINA KAPUNI,WAO WANASEMA SAA YA UKOMBOZI NI SASA.NAJIULIZA WANAMKOMBOA NANI NA WANAJIKOMBOA KUTOKA WAPI?NAWASHUKURU SANA NA NAWAPA BIGUP KWA YOTE MNAYO YAFANYA.SANGA,DISMAS MBEYA TANZANIA.TUDUMISHE AMANI NA MSHIKAMANO KWA WATANZANIA WOTE,CHUKI, UKABILA HAVITUFIKISHI POPOTE,AMANI TULIYO NAYO NI TUNU.

    ReplyDelete