Vituo vya mafuta Jijini Mbeya vimegoma kuuza mafuta aina zote sababu ya kupinga hatua ya EWURA kupunguza bei ya mafuta kuanzia leo wakidai ni hasara kwao sababu wenyewe walinunua kwa bel kubwa iweje leo wauze kwa bei ndongo wameomba wapewe angalau siku kadhaa kumalizia mafuta waliyonayo sasa katika vituo vyao. Hiyo ndiyo bei mpya ya mafuta.
Kituo cha Mafuta cha BP Mbeya Mjini.
Hiki ni kituo cha ORYX ambacho kilikua kinaendelea kutoa huduma bila kujua wenzao wamegoma kuuza mafuta.
Kituo cha mafuta kikiwa cheupe hakuna huduma ya mafuta.
Baadhi ya madereva wakigombea mafuta.
Picha zote na- Mbeya yetu Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: