Pole na kazi na Habari za leo? Huku tu wazima kabisa..Tulikua tulikua tunaomba msaada wako kutuwekea post yetu Tunatanguliza sukurani zetu Shukurani zetu. Asante na Ramadhani Njema.Asante sana
OFA YA NANE NANE NA RAMADHANI KUTOKA TONE INTERNET RADIO KWA MAKAMPUNI YOTE TANZANIA
Ni msimu wa Nane nane na Mfungo wa Ramadhani.. Tone Internet Radio inawaletea ofa Maalum kwa makampuni yote Yaliyopo Tanzania kutangaza Biashara zenu Bure kabisa kwa muda wa Mwezi mzima. Matangazo yawe ya aina mbili aina ya Picha yani Jpg na matangazo ya sauti, ofa hii maalum itakwenda mpaka tarehe 29.08.2011, wahi sasa nafasi ni yako. Tutumie Tangazo kupitia toneinternetradio@yahoo.com
Kusikiliza Live Bofya hapa: TONE INTERNET RADIO

Toa Maoni Yako:
0 comments: