Miss Tourism Mackrine Jastine.
Toka kushoto ni msindi wa tatu Dina David katikati mshindi wa kwanza kulia kabisa mshindi wa pili Anna Barnabas.
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiimba wimbo wa Taifa.
FM akademia walikuwepo kutumbuiza katika shindano hilo la kumsaka Miss Tourism Mbeya.
Washiriki wa Miss Tourism Mbeya wakiwa katika mavazi ya Ubunifu.
Washindi wa kwanza mpaka wa nne katika shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Picha zote na- Mbeya yetu Blog.
Toa Maoni Yako:
0 comments: