Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akielezea jambo wakati akifanya mahojiano na Clouds Fm.
Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy Mapunda.
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa (SBL) Teddy Mapunda, Mkurugenzi wa Masoko Kampuni ya bia ya Serengeti Breweriers (SBL) Ephraim Balozi Mafuru akiwa na Meneja wa bia ya Serengeti Premium Lager Allan Chonjo wakiwa na kikosi kazi cha Clouds Fm kinachorusha matangazo 'live' kutoka mtaani ambao ni watangazaji Wasi Wasi na Raymond walipowatembelea ofisi za Serengeti kwa ajili ya mahojiano mafupi ya tamasha la Serengeti Fiesta 2011 linalotarajia kufanyika kesho July 30, 2011.
Toa Maoni Yako:
0 comments: