Mkutano mkuu na tafrija ya mwaka ya Tanzania Professionals Network (TPN) (Mtandao wa wanataaluma Tanzania) utafanyika tarehe jumapili hii tarehe 05/06/2011, Luther House, Azania Front, kuanzia saa 8 mchana.
Naomba wanachama wote na wanaotaka kuwa wanachama tuthibitishe ushiriki wa mkutano huu, hakutakuwa na ada ya ushiriki hivyo wanachama wote tujitokeze kwa wingi.
Agenda ni :
i. Kuwasilisha taarifa ya muda ya fedha ya TPN
ii. Kufanya uchaguzi mkuu wa viongozi wote (Rais, Makamu wa Rais, Katibu Mkuu, Naibu Katibu Mkuu, Mtunza hazina na Naibu wake, na wajumbe wa kamati ya utendaji.
iii. Kupitia upya na kuweka malengo na mikakati mipya ya TPN.
Ni matarijio yetu kuanzia 8 hadi saa 12 tutamaliza agenda zote hizo na tutapumzika kwa muda ili kujiandaa na chakula cha pamoja cha jioni kwa watakaopenda kushiriki kuanzia saa 1 usiku.
Tafrija itafanyika siku hiyo hiyo baada ya mkutano kuanzia saa 1 usiku, ili kurahisihsa tumeona ni vizuri kila mwanachama akalipia chakula na kinywaji chake siku hiyohiyo na hapo hapo ukumbini kwa kadri atakavyoona inafaa hakuna bei maalumu, tunaongea na New Africa Hotel ili tukapate chakula cha usiku pale na kupongezana kwa mafanikio mbali mbali miongoni mwetu, New Africa ni karibu na ukumbi tutakaofanyia mkutano,taarifa zaidi zitaendelea kutolewa.
Naomba wote tuthibitishe ushiriki wa matukio hayo , utuambie kama utapenda kuahiriki mkutano tu au na chakula cha usiku.
Naomba kutoa wito kwa wanaopenda kuwania nafasi za uongozi pia wajitokeze, siku ya mkutano kutakuwa na fomu za kujaza pale ukumbini, mnaruhusiwa kuweka nia kuanzia sasa.. nafasi zote ziko wazi.
Kwa mawasiliano piga/sms 0716 898685
Naomba tuwafahamishe na wengine wote tunaowafahamu.
Naoma tushirikiane, nawatakia kila heri.
Phares Magesa
Makamu wa Rais-TPN.

Toa Maoni Yako:
0 comments: