Kundi la The Under Zone.Kundi la The Under Zone na Still Unit wakiwa katika picha ya pamoja na meneja wa Kinywaji cha Serengeti Lager Allan Chonjo baada ya makundi hayo kutangazwa kuwa ndiyo yameibuka mabingwa wa mashindano ya mwendelezo wa Dhahabu na Serengeti Dance la Fiesta 2011 kwa jiji la Dar es Salaam yaliyofanyika Club Sun Sirro jijini Dar es Salaam. Makundi hayo yataungana na makundi mengine kutoka Arusha, Mwanza,Tanga, Morogoro na Zanzibar katika shindano kubwa litakalokutanisha makundi hayo yote pamoja na washindi wa mkoa wa Dar es salaam.Kundi la Still Unit wakiwa katika picha ya pamoja.

Jaji wa Serengeti Dance la Fiesta Msami (katikati) kutoka Tanzania House of Talent akijadiliana na viongozi wa makundi ya The Under Zone na Still Unit mara baada ya kuonekana zoezi limekuwa gumu kwa vijana kuchuana kwa kiwango cha juu.Majaji wa Serengeti Dance la Fiesta kutoka kulia ni B-12, Mtangazji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam, anafuatiwa na Msami kutoka Tanzania House of Talent pamoja na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ cha Clouds Tv, Isakwisha Thomson wakijadiliana jambo mara baada ya kuonekana zoezi limekuwa gumu kwa vijana kuchuana kwa kiwango cha juu.Majaji wa Serengeti Dance la Fiesta kutoka kulia ni B-12, Mtangazji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam, anafuatiwa na Msami kutoka Tanzania House of Talent pamoja na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ cha Clouds Tv, Isakwisha Thomson wakijadiliana jambo mara baada ya kuonekana zoezi limekuwa gumu kwa vijana kuchuana kwa kiwango cha juu.Mashabiki wa Dance la Fiesta wakiwa katika nyuso za furaha.Kundi la The Ander Zone wakiwa katika picha ya pamoja.

Kundi la Still Unit wakiwa katika picha ya pamoja.Mtangazaji wa Clouds Tv Babu wa Kitaa ambaye alikuwa pia ni MC wa shindano wa Serengeti Dance la Fiesta akijaribu kuweka mambo sawa.Mashabiki waiojitokeza kwa wingi.

Majaji wa Serengeti Dance la Fiesta kutoka kulia ni B-12, Mtangazji wa Clouds Fm 88.4 jijini Dar es Salaam, anafuatiwa na Msami kutoka Tanzania House of Talent pamoja na muandaaji wa kipindi cha ‘Step Up Player’ cha Clouds Tv, Isakwisha Thomson.Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar waliojitokeza kwa wingi club Sun Cirro kwenye shindano la kumsaka kinara wa msimu wa dhahabu unaoendelea wa Serengeti Dance la Fiesta 2011.Kundi la West Shakes likionyesha umahili wake katika kudance katika shindano ndani ya Club Sun Cirro, jijini Dar es Salaam.Viuno navyo vilipata nafasi katika Serenegeti Dance la Fiesta.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: