Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(katikati)akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Idara ya Uzalishaji Mifugo,Hafidh Saidi,(wapili kulia) huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu za Ng'ombe,kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akiangalia mashine za uzalishaji wa Mbegu za Ng'ombe, huko Maruhubi katika kituo cha uzalishaji mbegu hizo, kilicho chini ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushoto) akizungumza na wananchi na madaktari wa kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,(kushoto) Naibu Waziri wa Wizara ya Afya Mhe,Dr. Sira Ubwa Mamboya.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushoto)alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,katika Mkoa wa Mjini Magharibi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk ALi Mohamed Shein, akisalimiana na wazee wa jimbo la Mpendae alipotembelea kituo cha Afya Mpendae wilaya ya mjini,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Magharibi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Mzee Khamis,alipotembelea eneo la Bwawa la Mnazi Mmoja jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Viwanja vya Mnazi mmoja kama picha hii inavyoonesha katika hali ya kujaa kwa maji kutokana na Mvua kubwa zinazoendelea kunyesha,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed shein,(hayupo pichani) jana alitembelea viwanja hivyo alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za mkoa wa Mjini Magharibi zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,(wa pili kushotoi)akisalimiana na watoto wa Skuli ya Maandalizi ya Meya,baada ya kuzungumza na wazee na wananchi wakti wa uzinduzi wa skuli hiyo,alipokuwa katika ziara ya kutembelea Ofisi mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mkoa wa Mjini Mahgaribi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk ALi Mohamed Shein, akipokea risala ya Skuli ya Maandalizi Meya, kutoka kwa Mwalimu Sichana Talib, alipokuwa katika ziara ya kutembelea jimbo la Mpendae, Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa Mzee Khamis,alipotembelea eneo la viwanja vya Mnazi Mmoja jana,akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk ALi Mohamed Shein, akitembelea eneo la bwawa la Hoteli ya bwawani jana, akiwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi nya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein, akipokea ripoti ya Mkoa kutoka Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Baadhi ya Maofisa wa kutoka wizara mbali mbali zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar,Dk Ali Mohamed Shein, (hayupo pichani) alipozungumza nao jana, akiwa katika ziara ya Mkoa wa Mjini Magharibi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein, akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,(wapili kulia)Waziri Ali Juma Shamuhuna,Wizara ya Ardhi, Makaazi, Maji na Nishati,(katikati) na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar, alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar, alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk ALi Mohamed Shein,akipewa maelezo na Mkuu wa Mkoa wa Mjini,Abdalla Mwinyi Khamis,alipotembelea Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa Mjini,hapo Vuga Mjini Zanzibar,alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk ALi Mohamed Shein,akisalimiana na Meya wa Manispaa ya Mjini Zanzibar, Khatib Abdulrahman Khatib, alipotembelea Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Mjini Mahgaribi, Abdalla Mwinyi Khamis, alipokuwa katika ziara ya kutembelea sehemu mbali mbali za Mkoa wa Mjini Magharibi, zilizo chini ya Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: