Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein,alishiriki katika mazishi ya Msanii maarufu wa muziki wa Taarab, Maulid Mohamed Machaprala, aliyefariki na kuzikwa jana kijijini Bambi, wilaya ya kati Unguja,pichani Dk Shein, akitia udongo katika kaburi kama isharakatika mazishi hayo.
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, pichani na waislamu wengine wakishuhudia harakati za mazishi ya Msanii Maarufu wa muziki wa Taarab, Maulid Mohamed Machaprala, aliyezikwa kijijini Bambi wialaya ya kati Unguja jana.

Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein, akishiriki na waumini wengine wa dini ya kiislamu kusalia Jeneza la marehemu Msanii Mzee Maulid Mohammed Machaprala, katika msikiti Nambar, Kisiwandui Mjini Zanzibar jana.


Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: