Hapa akielezea historia ya maisha yake.
Hapa akielezea mahusiano yake na Sharobaro Rec.
Msikilize Msanii wa kizazi kipya a.k.a bongo fleva Diamond akielezea kazi alizowahi kuzifanya kabla ya kuwa msanii na kafafanua kuwa kwa sasa hawana ugomvi wowote na muundaaji wa muziki kutoka studio za Sharobaro aitwaye Bob Jr katika kipindi cha Leo Tena kunachorushwa na Clouds Fm 88.4 jijini Dar na mtangazaji Dina Marios (pichani), Geah Habib, Husna Abdul na Zamaradi Mketema.
Toa Maoni Yako:
0 comments: