Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Jackson Mmbando akimtambulisha Mshindi aliyejinyakulia Mil.150 za Bahati nasibu ya BAHATIKA na TIGO, Bw. Nobert Lilungulu ambaye ni muuguzi wa hospitali ya Mtwara (pili kutoka kulia) pamoja na Mshindi wa gari aina ya NISSAN HARDBODY X 86 lenye dhamani ya sh.59,000,000/- katika Bahati nasibu ya BAHATIKA na TIGO, Carlos Kambo mkazi wa Iringa katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Wa kwanza kushoto ni Ofisa wa Huduma za Ziada Tigo, Pamela Shelukindo.
Mshindi aliyejinyakulia Mil.150 za Bahati nasibu ya BAHATIKA na TIGO, Bw. Nobert Lilungulu ambaye ni muuguzi wa hospitali ya Mtwara akikabidhiwa hundi yenye dhamani ya Mil.150 na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Jackson Mmbando katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa wa Huduma za Ziada Tigo, Pamela Shelukindo.
Mshindi wa gari aina ya NISSAN HARDBODY X 86 lenye dhamani ya sh.59,000,000/- katika Bahati nasibu ya BAHATIKA na TIGO, Carlos Kambo mkazi wa Iringa akikadhidhiwa ufunguo wa gari lake na Meneja Uhusiano wa Kampuni ya Tigo Jackson Mmbando katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Ofisa wa Huduma za Ziada Tigo, Pamela Shelukindo
Toa Maoni Yako:
0 comments: