Muonekano wa soko la Kinondoni, Manyanya, jijini Dar es Salaam wafanyabiashara walivyoziweka ndizi chini bila kujali afya.
Hivi ndivyo lilivyo.
Ndizi zikiwa zimewekwa chini ya tope bila kujali afya ya mlaji. Hali kwa sasa ni tete kwenye jiji la Dar es Salaam kutokana na mvua inayonyesha mara kwa mara na kusababisha mitaro kujaa na watu wengine kupata nafasi ya kuzibua vyoo vyao. Ukitembelea maeneo ya Msasani, Mikocheni, Kinondoni, Mwananyamara na sehemu nyingine utajionea jinsi watu wanavyozibua vyoo vyao wakati wa mvua na kuacha kinyesi kikitapakaa barabarani hali ambayo inahatarisha maisha ya watu.

Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: