WANA FEMACT NA WANA GDSS MNAALIKWA KATIKA KONGAMANO KUSHEHEREKEA WANAWAKE WAPIGANIA UHURU AFRIKA: TAMASHA LA TAALUMA TAREHE 13/4/2011 SAA 9 MPAKA SAA 11 JIONI MCHANA KATIKA UKUMBI WA NKHRUMA, CHUO KIKUU, MLIMANI, DAR ES SALAAM.
MADA: TAMASHA LA TAALUMA
Lini: Jumatano Tarehe 13 April, 2011
Muda: Saa 09:00 – 11:00 Alasiri
MAHALI: KATIKA UKUMBI WA NKHRUMA CHUO KIKUU CHA DSM
WOTE MNAKARIBISHWA
N.B GDSS HAITAKUWEPO TGNP MABIBO
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: