Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' (kulia) akiwapatia maelezo ya video aliyoiandaa kwa mtindo wa DVD ambayo itaweza kuwafundisha mabondia kuuelewa mchezo huo, Dar es Salaam leo, wanaopata maelezp ni Mabondia, Maneno Osward, Robart Mroso na Chaurembo Palasa. (Picha na Mpiga picha Wetu)
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: