Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Mhe. Omar Othman Makungu, kuwa jaji wa Mahakama kuu ya Zanzibar, jana katika hafla iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar, awali alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akimuapisha Othman Masoud Othman, kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, awali alikuwa Mkurugenzi wa mashtaka, hafla hiyo iliyofanyika Ikulu Mjini Zanzibar jana.

Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: