Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni IPP Bw. Reginald Mengi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air Alfonce Kioko kulia akimkabidhi zawadi ya mfano wa ndege ya mpya ya Kampuni hiyo aina ya ATR 72-500 mgeni rasmi Bw. Reginald Mengi mara baada ya kuizindua rasmi kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere, ndege hiyo ina uwezo wa kubeba abilia 66.
Mgeni rasmi Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Bw. Reginald Mengi katikati, Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni na Afisa Mtendaji Mkuu wa Precision Air Alfonce Kioko wa pili kutoka kulia wote kwa pamoja wakinyanyua glasi za mvinyo juu mkuashiria uzinduzi rasmi wa ndege mpya ya shiriki hilo aina ya ATR 72-500 yenye uwezo wa kubeba abiria 66 leo kwenye uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere, kulia ni Mwakilishi Mkazi wa Kenya Airways Lucy Malu na wengine kuanzia kushoto ni Claude Paulet Mwakilishi wa Ubalozi wa Ufaransa na Raberta Cocconi Mwakilishi wa Ubalozi wa Italia.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: