Makamo wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume akifungua Pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi tawi la CCM
Wanachana wa CCM na Wanajumuiya za chama Hicho wakibeba mabango yanayotoa ujumbe wa kulela maendeleo katika sherehe za uzinduzi wa kutimia miaka 33 ya kuzaliwa kwa CCM huko Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akiwapungia mkono wananchi wakati akiyapoka maandamano ya wananchi na wana chama wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Bagamoyo Mkoa wa Pwani jana katika uzinduzi wa shamra shamra za miaka 33 ya kuzliwa kwa chama hicho.
Kajunason Blog

Kajunason Blog

A Tanzanian blog operating since October 2007, covering Local News, Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers / viewers.

Toa Maoni Yako:

0 comments: