Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Amani Abeid Karume, akibadilishana mawazo na madaktari Bingwa wa Taasisi ya Neurosurgical Education Development, wanaohusika na matibabu ya upasuaji wa kichwa wakiongozawa Rais wa (NED) Jose Piguer, (wapili kushoto), walipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana,(wapili kulia) Dr Mahmoud Quresh, wachuo kikuu cha Nairobi na (wa kwanza kulia) mama Jose
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu.
Toa Maoni Yako:
0 comments: